Sasa shule zimeanza rasmi ááŒá
áºáááºá Je, wayajua maendeleo ya mwanao? Umemwandaa kufanya vizuri mwaka huu?
â Herufi na Akiliâ á¡ááºááá®áá±ážááŸááºážááẠElimu!
App hii ni tafsiri ya Kiswahili ya #Akili's Alphabet: Game #1 ya Elimu Tanzania yenye mashabiki wengi, liyopakuliwa zaidi ya mara 10,000 kwenye Play Store!
â Herufi na Akiliâ inamwandaa mtoto wako kwa ajili ya kwenda SHULE á App hii hutumia michezo na nyimbo kufundisha mwanao jinsi ya kutamka herufi na kumfunza maneno mapya!
Mtoto wako atafurahia ELIMU na app hii ya BURE inayoletwa kwako na waandaaji wa katuni murua ya elimu-burudani ya "Akili and Me"!
Mwanao atajifunza ááŸáá·áº Happy Hippo, Bush Baby ááŸáá·áº Little Lion, akiimba na kusikiliza nyimbo za herufi azipendazo kutoka kwenye kipindi cha "Akili and Me"
Hebu mwone anavyocheza kwa raha, akifurahi na marafiki huku akisikiliza HERUFI zinavyotamkwa na kuzifananisha kwenye simu!
Ubongo, ambao pia ni waandaaji wa katuni nyingine maarufu yaâ Ubongo Kidsâ, wameitengeneza app hii kwa lengo hasa la kumwezesha mtoto wako:
FAIDA
- Atambue sauti za herufi
- Afananishe herufi
- Ajifunze kwa uwezo na kasi yake mwenyewe á
- á
áááºááá¯ááááºážáá«á
- áá±á¬ááºáá¶áá«á
VILIVYOMO
- Jifunze zaidi ya maneno 80 mapya á
- Cheza kwenye mazingira salama kwa ajili ya mtoto á
- áá áá á
ááŸáá·áº á ááá¯á·ááŒá
áºááŒáááºá
- Haina maksi wara daraja, hivyo mtoto atajifunza bila hofu
- Ni BURE kabisa á Hakuna gharama zozote
- Inafanya kazi BILA MTANDAO
â Herufi na Akiliâ ááẠUbunifu wa, kiv ajili hasa ya watoto, hivyo mwanao ataielewa app hii bila shida na kuanza kuitumia mara moja á
Mwonyeshe jinsi ya kupanga na kuoanisha herufi mara moja au mbili tu, kisha tazama jinsi anavyocheza mwenyewe kwa uhuru kabisa na kwa raha zake!
Wangoja nini áá¬ážá Ipakue sasa BURE!
KIINGEREZA - AKILI'S ALPHABET
Ahsante kwa kupakua Herufi na Akili á Tumekuandalia pia tafsiri ya app hii inayoitwa "Akili's Alphabet" inayomfundisha mwanao sauti za herufi na maneno mapya kwa lugha ya Kiingereza á
"Akili's Alphabet" itamwezesha mtoto wako ajifunze lugha ya pili, huku akicheza na kusikiliza nyimbo alizozizoea kutoka kwenye kipindi cha "Akili and Me" Tafuta tu "Akili's Alphabet" Google Play, na utaipata mara moja á
KUHUSU "AKILI ááŸáá·áºáá«"
â Akili and Meâ ni katuni murua ya elimu na burudani inayoandaliwa na Ubongo, watengenezaji waâ Ubongo Kidsâ na programu nyingine nyingi za kujifunza zilizoundwa mahususi kwa ajili ya watoto wa Afrika á
Karibu Lala Land, ulimwengu wa maajabu, ambapo utajifunza na kucheza na Akili! Imba namba! Cheza herufi! Chekaá choraá na jifunze Kiingereza ááŸáá·áº Kiswahili ááŸáá·áº Akili
Njoo ufurahi ááŸáá·áº Little Lion, Happy Hippo ááŸáá·áº Bush Baby kila Jumamosi ááŸáá·áº Jumapili saa 3 asubuhi kupitia TBC1 (Tanzania), Jumamosi pekee saa 3 asubuhi kupitia Citizen TV (Kenya) á
KUHUSU UBONGO
Ubongo ni kampuni ya kijamii ya Tanzania inayoandaa vipindi na katuni mahususi za elimu na burudani kwa ajili ya watoto wa á¡á¬ááááá ikitumia teknolojia za kidijitali kama redio, simu, televisheni na vitabu vya mtanda
Mkakati wetu ni kuwafurahisha wana wa á¡á¬ááááá tukiwafunza ili wapende kujifunza zaidi kwa uwezo na nafasi yao, wakitumia teknolojia walizo nazo Njoo utazame vipindi maarufu vyaâ Ubongo Kidsâ ááŸáá·áºâ Akili and Meâ vinavyofikia zaidi ya nyumba milioni 5.1 barani á¡á¬ááááá
ONGEA áá¬á
á®
Kama una maswali, maoni, ushauri ama unahitaji msaada wowote, tafadhali zungumza nasi kupitia info@ubongo.co.tz á Twafurahi sana unapotupa maoni yako á
á¡ááºááááºáá¯ááºáá²á·ááá·áºáááº
áááá á¡á±á¬áẠáá
áááá¯ááºááá·áºáá±áá¬
*Intel® áááºážááá¬á áá¶á·ááá¯ážáá¬ážáááº